Home > Terms > Swahili (SW) > kuongoza kutoka nyuma

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu umeweza kuibua malumbano mengi kati ya Ikulu na Jarida la The New Yorker ambalo lilichapisha makala asilia ya yakimweleza mshauri wa Obama na kuonyesha vitendo vya Rais kule Lybia kuwa "kuongoza kutoka nyuma." Ikulu ya White House imekana kuwahi kutumia msemo huo.

Kinyume na Kampeni nyingi zilizoongozwa na Marekani Uarabuni, ambazo ziliwalenga Saddam Hussein wa Iraq na kundi la Taliban kule Afghanistan, Marekani ilichukua jukumu la pili kwenye vita vilivyoongozwa na Ufaranza huko Lybia ambavyo vilipelekea kukamatwa na kuuawa kwa Muammar Gaddafi.

0
Pievienot sadaļai Mana vārdnīca

Ko vēlaties pateikt?

Lai pievienotu komentāru, jums ir jāpiesakās.

Terms in the News

Featured Terms

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosāriji

  • 3

    Followers

Nozare/domēns: People Category: Pageantry

Teresa Scanlan (almasi, Watu, pambo)

mshindi wa kumsaka Miss America 2011.. Scanlan, 17 mwenye umri wa miaka ya hivi karibuni na kuhitimu kutoka shule ya sekondari ya mji wa magharibi ...

Līdzstrādnieks

Featured blossaries

Liturgy

Kategorija: Religion   1 17 Terms

Automotive Dictionary

Kategorija: Technology   1 1 Terms