Home > Terms > Swahili (SW) > makamu wa rais

makamu wa rais

Jukumu kubwa la makamu wa rais ni kuchukua urithi wa urais iwapo rais atajiuzulu,atatolewa au hata kufariki.

Jukumu lingine la kikatiba kwa makamu wa rais ni kuongoza bunge la senate la Marekani na kutumia kura yake kuamua pale ambapo pande zote mbili zinalingana. Hali hii hukiukwa tu pale ambapo bunge la senate linatekeleza jaribio la kumwondoa rais mamlakani.

Katika miaka ya hivi karibuni,makamu wa rais wamechukua majukumu makubwa zaidi ya kusimamia sera za kitaifa na kimataifa ambazo ni za hadhi ya juu.

0
Pievienot sadaļai Mana vārdnīca

Ko vēlaties pateikt?

Lai pievienotu komentāru, jums ir jāpiesakās.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosāriji

  • 12

    Followers

Nozare/domēns: Accounting Category: Tax

kutokana na bidii

uchunguzi wa uhakika wa upatikanaji wa uwekezaji mgombea uwezo, mali, nk Mara nyingi hutumiwa na uchunguzi wa kampuni kwa ajili ya sadaka ya awali kwa ...